Introsagvert
JF-Expert Member
- Sep 9, 2019
- 1,459
- 3,020
Ndo maana nilisema "kama"Rudi sasa
Kiukweli mkuu niwe muwazi niliiondoka dakika ya 37 baada ya Di Maria kufunga bao la pili, maana huko kibanda umiza nilikuwa nazodolewa mpaka nikawa nakosa amaniScars alikuwa anaandaa vichambo
Unaweza kujinyea pasipo kujua mzeeaseee mpira kumbe kushabikia ndio stress hivi πππ aseee
Miss wao ni mpango wa Weupe ili awe sawa na PELE (ngozi nyeusi) lakini kizuri zaidi duniani hatupangiani Miss wao ataendelea kuwa Miss tu kwa siye tusiozuzuka na mbeleko/Argentina FC [emoji16]Penati za France hazikuwa soft kama zenu
Btw hongereni
Sawa, kwahiyo za Messi hazikuwa halali?Penati za halali mtu kashika ndani ya boksi unaacheje kufunika mbona tumekubali na tumelizia mpewe kombe
Mungu ni mwema amempatia Messi kama wengi walivyoomba.Mungu ana mambo mengi mkuu
No more baby....Messi is OmegaSay no more Babe....
Uvumilivu ulimshinda badae nae Alilia Masikini kiukweli dogo kachezaaa bana!! Hekoo Kwa MbapeeeMbape hana wasiwasi anajua bado ana nafasi tena kwenye michuano hii anatoa macho tu π
Uchezaji bora kwa πMfingaji bora ni mbappe to correct you. Nafikiri na uchezaji bora
Bado haihalalishi na wao kukosa.Spain walipiga wazungu penati 3 zote wakakosa tena mfululizo.
Kumbe ubovu wa mechi ulisababishwa na Argentina kuongoza? Plastic fans wana taabu kweli kweli.Mpira umekuwa mbovu tena, Argentina wameshinda.
Unajua maana ya penalty?No
Kwa sababu bingwa kabebwa sana na penalty
Hao Kenge hawawezi kumsifia Mbappe hata sekunde 1 sababu ya mahaba niuwe tu kwa Miss wao [emoji23]Kiukweli mkuu niwe muwazi niliiondoka dakika ya 37 baada ya Di Maria kufunga bao la pili, maana huko kibanda umiza nilikuwa nazodolewa mpaka nikawa nakosa amani
Kelele za mashabiki vibanda umiza baada ya Mbappe kusawazisha ndio zilizoniamsha ikabidi niucheki tu kwenye TBC.
Aisee mpira nimeangalia kwa dakika ya 80 nimeshangaaa sana yani kiukweli hii ndio mechi yenye hadhi ya fainali.
Moyo wangu umekuwa mweupe yale makasiriko niliyoyapata baada ya kuona tunaongozwa yashayeyuka.
Siwezi kuacha kumsifia Messi jinsi alivyokuwa anashuka hadi chini kuzuia mashambulizi na kwa juhudi zake hususani katika bao la tatu, ila Mbappe ni kiumbe kingine.
Hongereni Argentina mmechukua kombe kihalali japo mapito yenu yalikuwa yana sintofahamu nyingi ila by now mmestahili.
Argentina ngapi??Unaambiwa Argentina huwambii kitu kuhusu Maradona ndyo maana Argentina hakuna sanamu la Messi
Brazil 5
Germany 4
Italy 4