Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Ile penat ya Kwanza ya dakika 90 KING LIONEL ANDRESS MESS wakati anaenda kupiga commentary alitamka hivi and that's are heart's beat ( myoyo ina dunda/inapiga) MESSSSSSSSS Argentina one.
 
Kiukweli mkuu niwe muwazi niliiondoka dakika ya 37 baada ya Di Maria kufunga bao la pili, maana huko kibanda umiza nilikuwa nazodolewa mpaka nikawa nakosa amani

Kelele za mashabiki vibanda umiza baada ya Mbappe kusawazisha ndio zilizoniamsha ikabidi niucheki tu kwenye TBC.

Aisee mpira nimeangalia kwa dakika ya 80 nimeshangaaa sana yani kiukweli hii ndio mechi yenye hadhi ya fainali.

Moyo wangu umekuwa mweupe yale makasiriko niliyoyapata baada ya kuona tunaongozwa yashayeyuka.

Siwezi kuacha kumsifia Messi jinsi alivyokuwa anashuka hadi chini kuzuia mashambulizi na kwa juhudi zake hususani katika bao la tatu, ila Mbappe ni kiumbe kingine.

Hongereni Argentina mmechukua kombe kihalali japo mapito yenu yalikuwa yana sintofahamu nyingi ila by now mmestahili.
Much respect to Mbappe. Dogo yuko na potential kubwa sana ya kufanya makubwa. Anatakiwa tu kufanya maamuzi magumu atoke pale PSG. Akicheza pale Madrid, kuna uwezekano mkubwa akafikia records za hawa legends.

Hii ilikua fainali ya kiume sana. Ila kama kawaida, wahuni wameshinda. Nashukuru Mbappe kafunga penati kadhaa leo, ili zile kelele za Messi kufunga penati zisiwepo!

Scars na Saint Anne, kuweni na usiku mwema.
 
Nadhani ubishani umeisha sasa,messi is G.O.A.T
IMG_6792.jpg
 
Back
Top Bottom