Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

nilikuwa nimebinya mambupu hawa kina Messi kidogo wanitoe roho yangu 🀀🀀🀀😭😭😭😭 ilibidi nizime TV nikatoka out na jf

nilikuwa nimebinya mambupu hawa kina Messi kidogo wanitoe roho yangu 🀀🀀🀀😭😭😭😭 ilibidi nizime TV nikatoka out na jf
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Ile penat ya Kwanza ya dakika 90 KING LIONEL ANDRESS MESS wakati anaenda kupiga commentary alitamka hivi and that's are heart's beat ( myoyo ina dunda/inapiga) MESSSSSSSSS Argentina one.
 
Much respect to Mbappe. Dogo yuko na potential kubwa sana ya kufanya makubwa. Anatakiwa tu kufanya maamuzi magumu atoke pale PSG. Akicheza pale Madrid, kuna uwezekano mkubwa akafikia records za hawa legends.

Hii ilikua fainali ya kiume sana. Ila kama kawaida, wahuni wameshinda. Nashukuru Mbappe kafunga penati kadhaa leo, ili zile kelele za Messi kufunga penati zisiwepo!

Scars na Saint Anne, kuweni na usiku mwema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…