Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Hana UA alien wowote,sema amezungukwa na kikosi kizuri.Messi is kikosi cha Argentina cha kawaida lakini amekibeba
Mbona nyie kwenu inakuwa simple kusema Ronaldo kazidiwa na Messi bila kuzingatia amezungukwa na kikosi cha namna gani?

Huyo Messi anacheza timu moja na Mbappe lakini mpaka saizi nani ni top scorer?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…