Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Msifikiri Senegal anaweza kumfunga Ecuador,wale jamaa wanatoka america ya kusini..mkumbuke kule Kuna vidume vimebaki kama vile Chile,Colombia,Paraguay,na huyo Uruguay amepita Kwa mbinde sana,labda tupambane na maostadh wale...
Target iwe ni kupata droo na Ecuador, ushindi na Qatar wa goli kuanzia 3 halafu tuombe Ecuador apigwe na Uholanzi goli kuanzia 3
 
Back
Top Bottom