Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Hawafiki mbali England na Argentina vikombe watasikia redioni tu ila makundi hata 16 bora watavuka coz wamepangiwa na vibonde ,mimi nina uzoefu wa kuwa hater na timu ninazozichukia zinafeli mwishoni.
Kama nilivyosema jana na siku zote mimi hater no 1 wa Argentina leo nimefurahi sana , nakazia Kombe watalisikia redioni japo sio mwisho wao wa safari.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my itel W6502 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom