Page 94
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 5,204
- 15,207
Sawa tumepasuka..Nyie si mnanionaga mi coward navyo shabikia bila kuweka cheddar
Sasa leo hii kuna vibopa vimepasuka kwa muhindi vinapiga hesabu jinsi gani ya ku fix hiyo hasara
Njia wanayoifikiria ni kuweka matumaini kwa Mexico wazee wa Narcos
Baada ya mpira kuisha tutakamatana hapa hapa kujua jumla ya hasara waliyoipata
Ila sisi Pro Ronaldo, tumefarijika kwa kiwango chake..
Hatuitakii Argentina mema hata kidogo.