Ziroseventytwo
JF-Expert Member
- Mar 27, 2011
- 8,581
- 15,618
FT Argentina 1-2 Saudi Arabia. Record ya game 36 ya kutofungwa ya Argentina imefikia mwisho kwa kufungwa na Saudi Arabia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu sbr uone ball game zijazo.. Mexico na Poland watajuta... Leo tumeshindwa kbs maliza game 1st half.Kama nilivyosema jana na siku zote mimi hater no 1 wa Argentina leo nimefurahi sana , nakazia Kombe watalisikia redioni japo sio mwisho wao wa safari.
Nyie si mnanionaga mi coward navyo shabikia bila kuweka cheddarAisee leo ningebet ningekula hela aiseeee
🤣🤣🤣🤣Nyie si mnanionaga mi coward navyo shabikia bila kuweka cheddar
Sasa leo hii kuna vibopa vimepasuka kwa muhindi vinapiga hesabu jinsi gani ya ku fix hiyo hasara
Njia wanayoifikiria ni kuweka matumaini kwa Mexico wazee wa Narcos
Baada ya mpira kuisha tutakamatana hapa hapa kujua jumla ya hasara waliyoipata
Ulaya tunampa nani?Kombe linarudi ulaya .. Brazil na Argentina hawana kikosi cha kubeba ndoo
Huyu brazil wengi watampa nafasi ya kushindaFootball is beautiful. Bado Brazil ma ma e.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hawa wa Saudi watajuta
1-0[emoji1033]
ndo mbuzi huyo mkuu A.K.A goat 🐐Sio kapigwa tu kapigwa bonge moja mgoli Messi anakuna tu midevu yake kama libeberu
Angemfunga si ata copa america alimfunga final Derby yaoMimi nilipoona tu wamemchukua Otamendi na kina Di Maria nikajua hawafiki mbali
Kuna jamaa hapo juu nilimwambia hata Argentina akishinda leo ila hawezi mfunga Brazil kwa namna yoyote ile kwa aina ya Squad yao
Spain ukifika robo shukuru MunguMachawa wa Argentina walikuwa wengi mno kesho mabingwa spain ndo tunacheza
Argentina akishinda niite Ashura JabirGame 4-2 hii kwa Argentina
Uliona mbali sana. Huo ndio utazamaji sahihiKukataliwa maana yake nini? Sio magoli yale, afu Argentina wanacheza kama KMC tu, hii game iko Open na Saudi Arabia wakitulia wanashinda hapa.