Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Mwaka 2010 World Cup iliyofanyika pale South Africa, mechi ya kwanza Spain anakufa 1-0 kwa Uswizi lakini alikuja kutwaa ubingwa.

Somo: Never underestimate Argentina
Argentina [emoji1033] yetu haina uwezo wa kubeba 6 points vs [emoji1166] Mexico na Poland [emoji1200] I repeat hana huo uwezo hana tena tuombe hyo Mexico vs Poland game iwe sare otherwise mwisho wa Argentina kama 2002 utakuwa umeisha kwenye group stage
 
Picha la kutisha
C43DC4C3-689D-484E-A914-8B3349FC5E46.jpeg
 
"Tunataka kuepuka mechi kuchezwa kwa dakika 42, 43, 44 pekee ndani ya kipindi kimoja"
"Kwa hiyo muda unaochukuliwa na ubadilishaji wa wachezaji (Substitutions), adhabu, kushangilia goli, matibabu au VAR utahesabiwa kwenye dakika za nyongeza." - Pierluigi Collina, Mkuu wa kitengo cha Waamuzi ndani ya Shirikisho la mpira wa miguu Duniani (FIFA).
 
Mwaka 2010 World Cup iliyofanyika pale South Africa, mechi ya kwanza Spain anakufa 1-0 kwa Uswizi lakini alikuja kutwaa ubingwa.

Somo: Never underestimate Argentina
Kuna ukweli hata kuna mwaka Argentina alifungwa mechi ya kwanza hata France lakini mwisho wa safari ndio walichukuwa ubingwa. Ila hongera kwa Saudia kutoa burudani na hizi team ndogo zijifunze unaingia unajiami kama ngumi basi toe to toe sio unaenda kucheza na wakubwa mmejazana nyuma. Hongera sana Saudia mmetoa burudani na darasa kubwa sana.
 
Back
Top Bottom