Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
Yaani kitoto kile hata UEFA hakina ndo akwe tegemezi au mchezaji Bora wa mashindano😂😂😂.
Pale ukiachana na kukimbia sana hamna mchezaji ..Ile 2018 ni uzamni wa malegend kibao ndo kachukua ila kwa kupewa timu bado mshamba hawezi kubeba.