National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,177
- 56,121
tuliwaona kina Robinho.. vichwa vikavimba wakapotoeDogo anakuja kuwa on 🔥🔥🔥🔥 miaka kadhaa ijayo!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tuliwaona kina Robinho.. vichwa vikavimba wakapotoeDogo anakuja kuwa on 🔥🔥🔥🔥 miaka kadhaa ijayo!
Sijawahi kumkubali huyo dogo hana udambwi udambwi la Aguero tu ,hana jipyaMkuu kama anakimbikimbia wasingeenda matuta
Mbappe ni mchezaji bora pia japo kwa mafanikio itakua ngumu kumfikia messi ila ni mchezaj mzur
Chaaaap...Haaland kiatu, arsenal ndoo!!
Kuna mwana huku mtaani kwenye banda umiza kamwagia maji kwenye TV ikazima halafu hawajamsanukia ni naniNdo mana watu hd wanazimia wengine kufa, dah mpira ni zaidi ya hisia.
Asante sana Ndugu, huwa unanifurahisha sana uchambuzi wako mzuri wa soka [emoji120][emoji119]Kwa mujibu wa hiyo picha mkuu upo sahihi kwa maana uki zoom kuna vidole vinezidi hapo
Na hiyo sijui ndio ile shambulizi lililookolewa golini ambapo line 2 alinyoosha flag kuashiria ni offside wakati mwamuzi wakati akiruhusu mpira uanze kati ikiwa na maana amekubali no goli
Usiongee ujinga wewe. Huyo Messi unayemuona leo alikuwa inspired na hao malegenderies. Hata darasani kuna 3 bora, kwenye mpira kuna wakwanza mpaka watatu bora. Kila nyanja ya matokeo mazuri 3 bora ni lazima, kombe la dunia jana katafutwa wa tatu bora, sasa ukisema umtoe PELE na MARADONA nyuma ya Messi utawaweka kina nani?Messi asifananishwe na ujinga wwte tangia Leo , sio Pele wala Maradona wote weka kwenye dustbin
Huwezi mfananisha Robinho na huyu dogo, at 23 mtu kama robinho hakuwa na lolote la kujivunia. Huyu ana ndoo ya WC na mengine mengi, achievement ya wedkap hii tu inatosha, hat trick a fainali hii tu ni gumzo, mpe heshima yake dogo Mbappetuliwaona kina Robinho.. vichwa vikavimba wakapotoe
Hao Kenge hawana akili kabisa [emoji1787]
Kweli mahaba ni upofu na upumbavu tupu [emoji23]
Huyo Miss penati wao hata angechukua balloon D'O mara trilioni bado sitamkubali kamwe hadi niingie mbinguni.
Ronaldinho ndiye KIUMBE HATARI sana kwangu [emoji3526]
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Yes he didA champion is simply someone, who did not give up when they could have...
- Lionel Andrés Messi AKA Leo...
Hajui rekodi zinavunjwa kirahisi tuMbape is just 23 usisahau Hilo
Pia ndio most paid player in the world
Pay some respect mzee
It was nice sitting next to you Bantu🤣🤣🤣Asanteni wote tuliokuwa pamoja hapa kwenye WC 2022...
Nawapenda wote, nimejifunza vitu vipya kwenye mpira. Brazil ilituangusha wengine. Ila leo tunafuraha sababu ya Argentina. Kombe limeenda America kusini ndugu tu na Brazil.
WC 2022 imekuwa ya kustaajabisha, kusisimua, uchungu na furaha...
Timu zote zile hazikujua, zinawasindikiza kileleni Argentina.
Tuliokuwepo WC ya 2014 na 2018
ilikuwa Katavi akichagua tu team, jueni mmeliwa. 🤣🤣🤣🤣
This time ni Scars naona kila alipoenda wameliwa vichwa 🤣🤣🤣🤣🤣
Panapo uzima tukutane WC ijayo...
Messi 😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍
Utaahira haujawahi kujificha kabisa hasa [emoji16]Mashabiki wa cr7 ni mashoga wote