Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Watanzania ni kiburi kimetujaa tu ila Argentina ni ndugu zetu wa damu kabisa Hadi kituo Cha daladala kipo kitambo.View attachment 2451114View attachment 2451117View attachment 2451116View attachment 2451118View attachment 2451115View attachment 2451119
Screenshot_20221218-185405.jpg
 
Kwa mujibu wa hiyo picha mkuu upo sahihi kwa maana uki zoom kuna vidole vinezidi hapo

Na hiyo sijui ndio ile shambulizi lililookolewa golini ambapo line 2 alinyoosha flag kuashiria ni offside wakati mwamuzi wakati akiruhusu mpira uanze kati ikiwa na maana amekubali no goli
Asante sana Ndugu, huwa unanifurahisha sana uchambuzi wako mzuri wa soka [emoji120][emoji119]

Ngoja tuone Weupe watampandikiza yupi tena kuvunja rekodi ya Miss penati au ndiyo basi washaridhika kwa kuwa MFALME WA SOKA duniani "PELE" asharushiwa furushi la misumari [emoji847]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Messi asifananishwe na ujinga wwte tangia Leo , sio Pele wala Maradona wote weka kwenye dustbin
Usiongee ujinga wewe. Huyo Messi unayemuona leo alikuwa inspired na hao malegenderies. Hata darasani kuna 3 bora, kwenye mpira kuna wakwanza mpaka watatu bora. Kila nyanja ya matokeo mazuri 3 bora ni lazima, kombe la dunia jana katafutwa wa tatu bora, sasa ukisema umtoe PELE na MARADONA nyuma ya Messi utawaweka kina nani?
 
Ww ni nan ktk huu ulimwengu???.
Co lazima umkubali ww ila dunia inamtambua kuwa yy ni GOAT
Hao Kenge hawana akili kabisa [emoji1787]

Kweli mahaba ni upofu na upumbavu tupu [emoji23]

Huyo Miss penati wao hata angechukua balloon D'O mara trilioni bado sitamkubali kamwe hadi niingie mbinguni.

Ronaldinho ndiye KIUMBE HATARI sana kwangu [emoji3526]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Asanteni wote tuliokuwa pamoja hapa kwenye WC 2022...
Nawapenda wote, nimejifunza vitu vipya kwenye mpira. Brazil ilituangusha wengine. Ila leo tunafuraha sababu ya Argentina. Kombe limeenda America kusini ndugu tu na Brazil.

WC 2022 imekuwa ya kustaajabisha, kusisimua, uchungu na furaha...
Timu zote zile hazikujua, zinawasindikiza kileleni Argentina.
Tuliokuwepo WC ya 2014 na 2018
ilikuwa Katavi akichagua tu team, jueni mmeliwa. 🤣🤣🤣🤣
This time ni Scars naona kila alipoenda wameliwa vichwa 🤣🤣🤣🤣🤣
Panapo uzima tukutane WC ijayo...
Messi 😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍
 
It was nice sitting next to you Bantu🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom