Nakadori
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 8,778
- 21,010
namshukuru Mungu ameweka karama ya kuomba ndani yangu sema tu shetani analijua hilo kwahyo anahakikisha siifanyiii kazi.We mdada kuanzia leo Mimi nakusimika unabii utake usitake ushakua nabii ..
sifa ni kwa Mungu.