Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Kipepe anawauliza huko tweeter

Okeee Messi kashinda
Haya acc yako imeongezeka sh ngapi?

Haha nachekaaa

Ila hobbies zimeshimiwe tu

Tunapata furaha za ushindi na hatuingizi hata mia mbovu β€˜kwa tusiobet

Alamsiki thread!
Hayo ni makasiriko..maisha ni haya haya.Kombe la Dunia limeleta marafiki na familia karibu sana.
 
Hongera Argentina na Messi kwa kutwaa kombe la dunia kwa mara ya tatu ila Pele bado atabaki the greatest footballer of the all time kwa kutwaa taji hilo mara tatu kitu ambacho wachezaji wengi wameshindwa.
Heeeh kumbe kubeba makombe ya dunia mara tatu ndo unaitwa The greatest footballer of all time πŸ€ͺπŸ€ͺπŸ€ͺ

Kumbe alikuwa anacheza mwenyewe uwanjani ..?...πŸ˜…πŸ˜…
 
Kipepe anawauliza huko tweeter

Okeee Messi kashinda
Haya acc yako imeongezeka sh ngapi?

Haha nachekaaa

Ila hobbies ziheshimiwe tu

Tunapata furaha za ushindi na hatuingizi hata mia mbovu β€˜kwa tusiobet

Alamsiki thread!
wangeshinda wao wangeongeza nini?? shenzitypeee

Haters leo wanakufa na kihoro, yuko wapi Scars ??
 
Kweli Kombe la Dunia haliji mkononi kiuwepesi mpira wa leo ulikua mgumu sanaaa...ila bahati imeamua kuwa upande wa Argentinaa... na hii ndo inaitwa Destiny ya mtu hupangwa na Mungu.
Dada watu wanavuja jasho unasema bahati...
 
Kama nawaona hawa mafala heaters walivotulia.

Tulieni mbwa nyie[emoji23] tuliwaona mnaongea sana lkn sisi Ndo Mabingwa wa dunia[emoji41] KMMMMMMMMMMMMMMK.. Fungeni midomo mafala nyie.

And NEWWWWWWW reigning WORLD CUP CHAMPIONS.. LA ALBICELESTE[emoji1033][emoji1033][emoji1033]

Mliongea kama mpr mnacheza nyie wapuuz kbs nyie.. Fungeni midomo ss Mabingwa wa Dunian ndo sisi na hakuna ki2 mnaweza fanya kmmmmmmmmmmmmmmmmmk

Vamooooooooooooooooooooooooooooooooooos[emoji1033][emoji1033]
 
namshukuru Mungu ameweka karama ya kuomba ndani yangu sema tu shetani analijua hilo kwahyo anahakikisha siifanyiii kazi.
sifa ni kwa Mungu.
Sifa ni kwa Argentina na Messi. MUNGU hana roho mbaya hivyo aingilie ugomvi usiomuhusu. Kwani waliotolewa ni wadhambi sana? Kombe la dunia sio mbingu kuwa watakatifu tu ndo watalibeba πŸ˜€ πŸ˜€
 
Kiatu cha dhahabu kileee [emoji117] 7 goals with 5 fantastic goals but not the same as Miss penati goals 5

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
mkafie mbeleee................Messi hata akitaka kustaafu kesho, We are ready man

mlikuwa mnamuweka Messi na CR7

Mmeshindwa mnaanza kuleta za Mbappe kama kamshinda CR7,

Who is Mbappe?
 
Kweli Kombe la Dunia haliji mkononi kiuwepesi mpira wa leo ulikua mgumu sanaaa...ila bahati imeamua kuwa upande wa Argentinaa... na hii ndo inaitwa Destiny ya mtu hupangwa na Mungu.
Bahati ilikuwa kwa france, penalty 2 na ya 2 ilikuwa na walakin. Kuhusu kupiga matuta Argentina ni mafundi.

Hakukuwa na bahati yoyote. Walistahili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…