Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

hakunaga something called Teamless..........wana inawachoma kimya kimya

Here we GO! Kwani kuna Debate tena ya Messi na CR7??
Ikiwachoma
Watachomoa
Tulia



Debate za hao watu me hazinihusu
Simshabikii hata mmoja hapo
 
Hapo uliposema ni wakati wa kuwainua kina mbappe ndo nashindwa kukuelewa wainuliwe na nani kama sio performance ya uwanjani?
Nilimaanisha boss ni wakati wa kuachana na uCRphobia na Umesiphobia ili vizazi vipya vipate kujiamini na kuona kuna nafasi mpya ipo wazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…