Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Napenda kuwashukuru wadada niliongalia nao mpira baa kila goli likifungwa no maraa waaaaa team wananikumbatia kwa furaha japo ndo mara ya kwanza kuonana nyinyi ni zaidi ya burudani ya mpiraa mlifanya nifiche me mshabiki wa 2nd winner asshh foursome hug was so amazing[emoji41]

#MPIRA HARAMU
#TUSHIRIKIANE KUUPINGA
 
Nilimaanisha boss ni wakati wa kuachana na uCRphobia na Umesiphobia ili vizazi vipya vipate kujiamini na kuona kuna nafasi mpya ipo wazi.
Watu hawawezi kuachana na hiyo kitu maana kila mtu ana mapenzi yake.
Dawa ni hao wachezaji wengine waongeze bidii na wa perform vizuri watateka tu mioyo ya watu.
 
hahahahahahahaha mkuu furaha imezidi hadi unavurugwaaa
vamooooooooooooooossssssssssssssssssssssssssssss
Ivi Nakadori ulikua huoni mshabik mwenzangu matusi tuliyopata na kejel tena wengne wanaongea kama mpr ushachezwa.

Wajue ukiongea kabla ya mpr na usipo deliver wataongea wengne na sisi sasa ndo tunaongea vzr maana ndo Mabingwa..

Hawa haters mm sijali kbs.. Lbd kwa wengne nilio wa kwaza ndo ntaomba radhi lkn kwa hawa Takatak wengne siwez.

Wanasema the 1 who laughs last, laughs best.

Waache tuongee sisi sasa Mabingwa wapya wa Dunian tena tumeshinda in a dramatic fashion

Vamoooooooooooooooooooooooos[emoji1033]
 
walitukana sanaaaaa
walitubeza sanaaaaaa
sema sisi tulikuwa na roho za paka tukawa tunaenda nao bampa to bampa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…