ilala yetu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 1,451
- 2,348
Seriously hiyo Sala ulopiga Hapo ya ndani kabisa na nakuambia inawezekana hili kombe wewe ndo umelipeleka Argentina,...namshukuru Mungu ameweka karama ya kuomba ndani yangu sema tu shetani analijua hilo kwahyo anahakikisha siifanyiii kazi.
sifa ni kwa Mungu.