Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Mtanisamehe wakuu, nilichogundua messi anakubalika zaidi kwa wanawake [emoji126][emoji126][emoji126] na watu wafupi [emoji144][emoji144][emoji144]
[emoji16][emoji16][emoji16]
Mtanisamehe wakuu, nilichogundua messi anakubalika zaidi kwa wanawake [emoji126][emoji126][emoji126] na watu wafupi [emoji144][emoji144][emoji144]
[emoji16][emoji16][emoji16]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
hahahahaha eti nimelipeleka arg
nampenda messi baada ya kusoma background yake..........hadi kwenye familia yetu kuna mtu ameitwa jina la messi.... so niliumia sana alipodharauliwa na kubezwa. muache messi awe messi. he was a nobody ...ni football imembeba na kumuinua

[emoji28][emoji28][emoji28]usije ukawa ndugu yangu,
Ako mdogo wangu anaitwa Messi
 
Tena hii ndo umenipa new rule kns.. Iwe hata unachangia kwny mada nyngne majukwaa mengne Yan usisahau utambulisho wetu.

Naomba symbol yetu iwe ivi..

Vamooos[emoji1033]

Yan Vamos tunaweka na kabendera ke2 au unasemaje mamaah?
yeahh mkuu na inabidi upitishe kalamu kwenye huu uzi tutambuane wale wote tuliobeba fedheha toka day one na ikiwezekana wote tuwepo kwenye hyo pareee
Vamosssss
natumia laptop so emoj sijapata haha
 
Screenshot_20221218_231339.jpg

Cillah 🙂
 
Imeisha mkuu, hakuna kuzipa airtime hizi mbwa
Mimi mkuu sitoi kbs airtime kwa haters Yan sina mda wa kuQuote andiko la mtu yoyote tofaut na wabingwa wenzangu.

Mimi naongea na Mabingwa tu bas.. Yan kwa ufup tunaongea kibingwa ss hawa wengne uangike tutaongea nao nn ss.

Vamoooooooooos [emoji1033][emoji1033][emoji41]
 
yeahh mkuu na inabidi upitishe kalamu kwenye huu uzi tutambuane wale wote tuliobeba fedheha toka day one na ikiwezekana wote tuwepo kwenye hyo pareee
Vamosssss
natumia laptop so emoj sijapata haha
Yan usijal mm mashabik wenzangu wa Argentina since day 1 ya fedheha nawajua wote na list yao ninao.. Kwhy usijal party alitakua na mamluki wala mshabik wa oya oya wa kuhamia baada ya mafanikio.

Na details za party zitakua confidential sana kwa Mabingwa pekee Yan zitakua highly Classified [emoji419]

Vamooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooos[emoji1033][emoji1033][emoji1033][emoji1033][emoji1033][emoji1033][emoji1033][emoji1033]
 
Back
Top Bottom