Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Hlf nakuomba sana Nakadori usibishane tena na shabiki uchwara hawa waganga njaa.. Mda wa kubishana nao umeisha kwhy usiangaike tena mQuote hater.

Sisi ndo Mabingwa wapya wa dunia lzm Tuwe na class tusijiingize kwny hoja uchwara za hawa takataka.

Tafadhali sana mamaah ang nakuomba tusipoteze hadhi yetu kama Mabingwa kubishana tena ubish Umeisha na sisi ndo Mabingwa wapya wa dunia.

Vamoooooooooos LA Albiceleste [emoji1033][emoji41]
hatubishani tena sisi post zetu za kushangilia tuuu
 
Walibonga mbovu since game ya Saudi Arabia, ila vidume tulisimamia msimamo wetu.

VAMOOOSSS ARGENTINA!![emoji1033][emoji1033][emoji1033]
Kabisa kaka wanaume tukasimama na team yetu.

Hlf leo wanakuja kutia huruma hapa na wao ss ni mda wao watulie tunaongea Mabingwa hapa.

Kwnz mkuu usibishane na Takatak yoyote kwa sasa hawama tena class ya kuongea na Mabingwa wa Dunia

We're the NEWWWWWWW WORLD CHAMPIONS [emoji1033]

Vamooooooooooooooooooooooooooooooooooos [emoji1033][emoji1033][emoji1033][emoji1033][emoji1033][emoji1033][emoji1033][emoji1033]
 
Nawapongeza ufaransa imekuwa timu bora Sana.
690278.jpg
 
hatubishani tena sisi post zetu za kushangilia tuuu
Basi kumbe unajua protocol saiv sisi post zetu za kupost tu ubingwa bas.

Mda wa kubishana ss umeisha.

Mabingwa wapya ndo sisi.[emoji1033][emoji1033]

Vamooooooooooooooooooooooooooooooooooos Nakadori [emoji1033]
 
Kiukweli kuna muda baada ya kusawazisha ilikuwa inatokea nataka timu yangu ishinde lakini kila nilipokuwa namuangalia Di Maria akiwa analia, huruma inanijaa nafikiria vitu vingi.

Mchezaji ambaye ameonesha jitihada sana katika yale magoli mawili na jinsi gani haya mashindano aliyapa value halafu dakika za mwisho akiwa yupo nje mabao yote yamerudishwa??

Aisee mpira ni mkusanyiko wa hisia, hata humu nyinyi wenyewe mliodhani zile goli 2 ndio zingewafanya mmalize dakika 90 mkiwa mmwshinda, wote mlipoteana humu.
Kwa kweli nilibadili channel nikaanza kuangalia muziki...aisee Lile bao la pili la mbappe liliniliza...cm niliweka mbali kabisa..
Sasa najiuliza Kama Mimi naumia hivi hao wenyewe wanaumia kiasi gani
 
Kabisa kaka wanaume tukasimama na team yetu.

Hlf leo wanakuja kutia huruma hapa na wao ss ni mda wao watulie tunaongea Mabingwa hapa.

Kwnz mkuu usibishane na Takatak yoyote kwa sasa hawama tena class ya kuongea na Mabingwa wa Dunia

We're the NEWWWWWWW WORLD CHAMPIONS [emoji1033]

Vamooooooooooooooooooooooooooooooooooos [emoji1033][emoji1033][emoji1033][emoji1033][emoji1033][emoji1033][emoji1033][emoji1033]

Imeisha mkuu, hakuna kuzipa airtime hizi mbwa
 
Back
Top Bottom