Watu weusi sio mviumbe wa kuaminika popote, Unaachaje wakupigie penalt? Nilijua tu kama watazikosa.
Hlf bingwa mwenzangu wa Dunia kuna party ya Mabingwa kubwa sana inaandaliwa.hahahahahahahaha mkuu furaha imezidi hadi unavurugwaaa
vamooooooooooooooossssssssssssssssssssssssssssss
CR7 anajuta kumjua MESSI.Naona mashabiki wa CR7 mmejificha nyuma ya kivuli cha Mbappe ila moyoni mnakubali kiaina [emoji23][emoji23]
Messi ana goli 4 za penalt na sio 5Kiatu cha dhahabu kileee [emoji117] 7 goals with 5 fantastic goals of the King Mbappe but not the same as Miss penati's 5 goals [emoji3059] View attachment 2451190View attachment 2451191View attachment 2451192
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
asante sana....Hongera Sana
Naaaaaam!!!!Kwetu si tuna shereheee
Mpira siyo makasirikooo
Kwetu ni furaha teleee
Maana mpira siyo makasirikooo
Eeh sasa kwnn wao wakasirike mamaah watulie ni wkt wetu kufurah furaha iko pande mbili.. Wao wangeshinda wangetupa matus pia na kejel..walitukana sanaaaaa
walitubeza sanaaaaaa
sema sisi tulikuwa na roho za paka tukawa tunaenda nao bampa to bampa
Sasa kuzungumzia Simba nayo ni kitu ya kuacha Shualiiiii??ebu acha kuingiza simba hapo.. ni kama tunakula kitimoto alafu unachanganya na mrenda [emoji28][emoji28]
wapi hukooo?Hlf bingwa mwenzangu wa Dunia kuna party ya Mabingwa kubwa sana inaandaliwa.
Usijal mamaah ntakupa info kamili uone kama unaweza kufika lzm tupige party la Ubingwa aseee muhm.
And NEWWWWWWW reigning WORLD CUP CHAMPIONS la Albiceleste [emoji1033][emoji1033][emoji1033]
Vamooooooooooooooooooooooooooooooooooos Nakadori [emoji1033][emoji1033][emoji1033][emoji1033][emoji1033]
Miaka ya zamani betting ilikua sio kazi kama sasa. Mwambie ajaribu sasa ivi achezee za kichwaHuyu ni mchambuzi mahili wa mipira ya kimataifa....yupo hapo TBC1 usimchukulie poa. Mara nyingi alikuwa akibet anakula mechi nyingi tu hadi wahindi wanamkimbia...
Tuliza tako hapo , ujue nani anapigwa leo
Hakika hii ni 1 for the haters wakalie hapo watulie.We dedicate this one, to all haters around this thread.View attachment 2451193
Kama unateseka, kufa kabisa[emoji706][emoji706]
Huyo kaangalia kipindi cha kwanza akaamua kuanzisha uziNyie washabiki wachanga mna matatizo sana. Mpira ni dakika tisini au 120. Acheni mihemko, hii ni fainali bora kabisa.
hahahahahaha where are all the haters? let them kiss their ****sesWe dedicate this one, to all haters around this thread.View attachment 2451193
Kama unateseka, kufa kabisa[emoji706][emoji706]