Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Kbs baada ya maneno. Na kejel. Zote zile. Hlf watu bado wanaumia eti sisi kufurah.

Kmmk binadamu hawana jema mkuu.. Yan Pa1 na kutukejel kote kule na matusi yale bado kuna watu wakiona tunafurah wananuna..

Sema ndo ivo sisi hatuna cha kusema zaid ya kusema siis ndo THE NEWWWWWWW WORLD CHAMPIONS [emoji1033]

VAMOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOS LA ALBICELESTE [emoji1033][emoji1033][emoji1033][emoji1033][emoji1033][emoji1033][emoji1033]

Hizo mbwa ziwache zibweke mkuu, kesho tutazipa makombo ya mifupa wanywe na machozi yao[emoji28][emoji28]
 
Hizo mbwa ziwache zibweke mkuu, kesho tutazipa makombo ya mifupa wanywe na machozi yao[emoji28][emoji28]
Hakika hawa takataka mm hawanisumbui kichwa ndo maana siwez angaika hata kujib mbwa koko hawa mm.

Yan mm naongea na Mabingwa wenzang tu ndo najua wana point za kibingwa wanaweza kuniambia sio izi takataka uchwara.

Vamoooooooooooooooooooooooos[emoji1033]
 
Hakika mkuu.

Muda wetu huu, baada ya madhila na misukosuko mingi.
 
Ngoja niwe hater na Mimi ....... "Sa 7 hii mlale messi mwenyewe kalala saiz"
 
big goatttttttttttttt the goat of goats
ni Messi pekeee
na Messi ni mmoja tu duniani......
Ilo ww ndo umeliongelea vzr na umemaliza.. Sina cha kuongeza mm

Lbd niweke ushahid wa picha za mnato tu kama wanavosema wenye kiswahil chao[emoji23]

Vamoooooooooooooooos [emoji1033]View attachment 2451331View attachment 2451330View attachment 2451334View attachment 2451333View attachment 2451335View attachment 2451332View attachment 2451336
20221219_002642.jpg
View attachment 2451337
 
Hakika mkuu.

Muda wetu huu, baada ya madhila na misukosuko mingi.
Tulikua na team kwny kila nyakat ngumu na zenye furaha..

Ivi mkuu unakumbka kipind kile tunapoteza final 3 mfululizo Dunia ilivotusema kwa memes za kila aina hlf leo. Anatokea fala m1 anachukia furaha ye2 huyo si mchaw kbs.

THE NEWWWWWWW REIGNING WORLD CUP CHAMPIONS LA ALBICELESTE [emoji1033]

Vamooooooooooooooooooooooos[emoji1033]
 
Back
Top Bottom