Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Vamosssssssssssssssssssssssss sssss Argentina [emoji1033][emoji1033][emoji1033][emoji1033][emoji1033][emoji1033][emoji1033][emoji1033]
And THE NEEWWWWWWWWWWWW REIGNING WORLD CUP CHAMPIONS LA ALBICELESTE [emoji1033]

Asee hapa nilipo Niko na wana Albiceleste wenzang na ndo shangwe naona kama limeanza asee... Asee kwl. Mabingwa wa dunia tuna raha sana saiv.. Hlf Niki imagine raha hii tunayo kwa miaka mi4 ijayo asee ss sijui itakuaje.

Eti Nakadori furaha yote hii tunayo kwa miaka mi4 ijayo kweli?.. Mbn kama furaha ya miaka mingi sana asee.

Anyway.. VAMOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOS [emoji1033][emoji1033][emoji1033][emoji1033]
 
Sisi ndo wajanja wa football kwa miaka 4 duniani kote
Hakuna cha France wala nani...wote tumewakanyagaaa

Vamosssssss
 
Hili vazi alovishwa GOAT lina maana gani?
Nadhan wa Qatar wajanja sana wamefny ivo kama strategy watakumbukwa vizaz na vizaz, maana walimpa iyo akiwa anaenda kubeba kombe pale na wenzake wakijua kbs iyo picha ndo itakua picha official ya historia kwa vizaz na vizaz na ataonekana kavaa vazi ilo ambalo ni moja ya mavazi yao maOstadh hapo Qatar na iyo itazid waweka kwny historia kwmb mchezaj bora wa Dunian wa mda wote alibeba WC yake ya kwnz akiwa Qatar.
 
emi_martinez26~p~CmUneRsyx_2~1.jpg
 
Sisi ndo wajanja wa football kwa miaka 4 duniani kote
Hakuna cha France wala nani...wote tumewakanyagaaa

Vamosssssss
Basi nilikua sijaelewa lkn ww ndo umenielezea vzr ss na nimekuelewa mamaah ang.

Kwmb sisi ndo tupo on top of the World Football for 4 years hakuna mbwa yoyote kutoka popote anaweza kutuambia kitu.. Si ndo ivo umemaanisha bingwa mwenzangu wa Dunia?

Vamooooooooooooooooooooooooooooooooooos[emoji1033]
 
Yan ndo hvooo
Vamosssssssssssssssssss 🇦🇷
 
Yan Nakadori nilivoona iyo save imefanyika nikawaambia washabik wenzang wa Albiceleste kua kama tumeshindwa kufungwa iyo bas Naamini sasa mwenyez Mungu kaamua huu mwaka ni wetu na tunabeba ubingwa huu.

Asee iyo ilikua 1v1 chance dg anamaliza game akabutua baada ya kupiga kwa akil... Sema Martinez asee jamaa ni mbwaa Yan alivo ji stretch kufanya iyo save asee iyo ni Match Saving save kbs asee.

Asee hapo ndo nilijua fika kbs huu ubingwa ni wetu kwa namna yoyote ile.

Vamoooooooooooooooooooooos[emoji1033]
 
Hahahaha me nilivyoona mbape hajarudia penalty nkajua kekundu kwa France tayar...
Hivi penalty hairuhusiwi kupigwa na mmoja zote?

Vamosssssssss
 
Tulikua na team kwny kila nyakat ngumu na zenye furaha..

Ivi mkuu unakumbka kipind kile tunapoteza final 3 mfululizo Dunia ilivotusema kwa memes za kila aina hlf leo. Anatokea fala m1 anachukia furaha ye2 huyo si mchaw kbs.

THE NEWWWWWWW REIGNING WORLD CUP CHAMPIONS LA ALBICELESTE [emoji1033]

Vamooooooooooooooooooooooos[emoji1033]

Kile kipindi sintosahau kabisa, mimi nilipata shida kipinde kile.

Nilipigwa maneno mnoo, ila nilikuwa nawajibu “it’s not over until it’s over, Leo is my Goat”

Hatimae leo tumewanyamzisha hawa mbwa wabwekaji hovyo waliokosa hata mfupa wa kung’ata[emoji28][emoji28]
 
Nadhan wa Qatar wajanja sana wamefny ivo kama strategy watakumbukwa vizaz na vizaz, maana walimpa iyo akiwa anaenda kubeba kombe pale na wenzake wakijua kbs iyo picha ndo itakua picha official ya historia kwa vizaz na vizaz na ataonekana kavaa vazi ilo ambalo ni moja ya mavazi yao maOstadh hapo Qatar na iyo itazid waweka kwny historia kwmb mchezaj bora wa Dunian wa mda wote alibeba WC yake ya kwnz akiwa Qatar.
📌
 
Alexis Mac Allister….. huyu jamaa [emoji1430][emoji1430][emoji1430]View attachment 2451345View attachment 2451345
Very unsung hero jamaa kapiga mpr mwng sana tournament hii Kacheza vzr na kwa moyo m1 sana asee.

Yan asee kijana alikua vzr sana game krbia zote alizo cheza.

Vamooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooos[emoji1033]
 
Yan Nakadori nilivoona iyo save imefanyika nikawaambia washabik wenzang wa Albiceleste kua kama tumeshindwa kufungwa iyo bas Naamini sasa mwenyez Mungu kaamua huu mwaka ni wetu na tunabeba ubingwa huu.

Asee iyo ilikua 1v1 chance dg anamaliza game akabutua baada ya kupiga kwa akil... Sema Martinez asee jamaa ni mbwaa Yan alivo ji stretch kufanya iyo save asee iyo ni Match Saving save kbs asee.

Asee hapo ndo nilijua fika kbs huu ubingwa ni wetu kwa namna yoyote ile.

Vamoooooooooooooooooooooos[emoji1033]

The same kwenye ile game na Ausi, dakika za majeruhi angle hiyo hiyo alifanya save ya hatari mnoo[emoji1487]
 
Nadhan wa Qatar wajanja sana wamefny ivo kama strategy watakumbukwa vizaz na vizaz, maana walimpa iyo akiwa anaenda kubeba kombe pale na wenzake wakijua kbs iyo picha ndo itakua picha official ya historia kwa vizaz na vizaz na ataonekana kavaa vazi ilo ambalo ni moja ya mavazi yao maOstadh hapo Qatar na iyo itazid waweka kwny historia kwmb mchezaj bora wa Dunian wa mda wote alibeba WC yake ya kwnz akiwa Qatar.
📌
 
Kile kipindi sintosahau kabisa, mimi nilipata shida kipinde kile.

Nilipigwa maneno mnoo, ila nilikuwa nawajibu “it’s not over until it’s over, Leo is my Goat”

Hatimae leo tumewanyamzisha hawa mbwa wabwekaji hovyo waliokosa hata mfupa wa kung’ata[emoji28][emoji28]
Yan mkuu mm kama ww tu.. Asee nilichekwa na kutaniwa sana nikawa natumiwa kila memes.. Tena tukaitwa sisi ni failures na Messi hatakaa maisha yake yote kushinda kombe na Argentina.

Lkn Mungu alivo na maajab yake tumeshinda makombe yote matatu ndan ya miaka miwili tu 2021&2022

And finally we're the NEWWWWWWW WORLD CHAMPIONS LA ALBICELESTE [emoji1033]

VAMOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOS [emoji1033]
 
Back
Top Bottom