Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022


Hizo mbwa ziwache zibweke mkuu, kesho tutazipa makombo ya mifupa wanywe na machozi yao[emoji28][emoji28]
 
Hizo mbwa ziwache zibweke mkuu, kesho tutazipa makombo ya mifupa wanywe na machozi yao[emoji28][emoji28]
Hakika hawa takataka mm hawanisumbui kichwa ndo maana siwez angaika hata kujib mbwa koko hawa mm.

Yan mm naongea na Mabingwa wenzang tu ndo najua wana point za kibingwa wanaweza kuniambia sio izi takataka uchwara.

Vamoooooooooooooooooooooooos[emoji1033]
 

Hakika mkuu.

Muda wetu huu, baada ya madhila na misukosuko mingi.
 
Ngoja niwe hater na Mimi ....... "Sa 7 hii mlale messi mwenyewe kalala saiz"
 
Hakika mkuu.

Muda wetu huu, baada ya madhila na misukosuko mingi.
Tulikua na team kwny kila nyakat ngumu na zenye furaha..

Ivi mkuu unakumbka kipind kile tunapoteza final 3 mfululizo Dunia ilivotusema kwa memes za kila aina hlf leo. Anatokea fala m1 anachukia furaha ye2 huyo si mchaw kbs.

THE NEWWWWWWW REIGNING WORLD CUP CHAMPIONS LA ALBICELESTE [emoji1033]

Vamooooooooooooooooooooooos[emoji1033]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…