Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Tumeamkaaaaaaaaaaaaàaaaaaaaaaaaaaaa
Vamossssssssssssssssssssssss 🇦🇷
 
Anamlisha na cr7
 
Wote msiompenda Messi10 nasaka comment zenu.... Kwa hiyo wewe unasemaje !!!!!
We na we kashabiki kaoga badaa ya kubeba kombe ndio unajitokeza mda wote ulikua wapi bila shaka we ni shabiki wa England acha uchawa na Timu za watu Argentina hawana mashabiki woga kama wew haya tumekuja ulikua unasemaje
 
Naona mashabiki wa CR7 mmejificha nyuma ya kivuli cha Mbappe ila moyoni mnakubali kiaina [emoji23][emoji23]
Tatizo si mashabiki wa Ronaldo. Tatizo ni mashabiki wa Messi kumweka Messi kwenye nafasi yake katika historia wakiambatanisha na jina Ronaldo. Messi alishamzidi CR7 muda tu kabla ya kutwaa kombe la dunia ila mpaka sasa historia inayoandikwa ni Pele, Maradona na MessiCR7.
 
GOAT TENA WA MUDA WOTE... MAKOMBE YOTE ALIYOWAHI KUPIGANIA YAPO KABATINI KWAKE.... ALAFU MNAKUJA KUMLINGANISHA NA KIKOJOZI WENU MBAPE. KWENDENI HUKO......


VAAAAAMOOOOOS ARGENTINA
Ww ulikua wapi Fisi we mla mizoga ungekua Simba ungekuja Toka mwazo mpira unaaza huoni aibu unakula makombo ya comment eti nyaaaaa nyaaaaa nyaaa mbuzi we
 
Tena utawasikia wakipa moyo! eti Mbappe kikojozi ndiyo anakuja kuchukua mikoba ya Messi10 na CR7 combined.... Sijui wanaota hawa...
Messi10 Bora haijapata kutokea may be umlinganishe na hawa ambao hatujawaona wakicheza, yaani Pele, Maradona na Johan Cruyff.... the rest ni takataka TU....
 
The rest sio takataka boss ila hawana hadhi ya kulinganishwa na Messi kwa sasa.

Mbappe sio takataka ana nafasi iwapo atakuwa na nidhamu na kujituma sababu bado ana miaka 10 ya kuwa uwanjani na tayari ameshabeba kombe muhimu sana, kombe la dunia. Hakuna sababu ya kuwa na ushabiki wa mihemko. Hata Messi mwanzoni hakulinganishwa na Maradona mpaka pale alipofanya aliyoyafanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…