Franklin1902
JF-Expert Member
- Aug 1, 2018
- 2,241
- 4,876
Mabingwa wapya wa Dunia tumeamka kdg kuendelea na shangwe hlf tulale tena.
Vamooooooooooooooooooooooos[emoji1033]
Vamooooooooooooooooooooooos[emoji1033]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pakua app Moja inaitwa "Football Live HD" hutojuta Mkuu....Ndugu wazee, wakati tukirejea kwenye msimu wa mpira baada ya World Cup naomba mnisaidie link ya kutazama mpira online. Ile link ya Domain Seized by Law Enforcement tuliyokuwa tunatazamia mpira imefungiwa rasmi na magaidi. Natanguliza shukrani.
View attachment 2451446
TumeamkaaaaaaaaaaaaàaaaaaaaaaaaaaaaYan the stry ya hii team ni fighting spirit kila. Mtu anajitoa.. Hat kwny moment ngumu kama za game ya Holland na ya leo hii ambapo tuli give away a 2 goal caution lkn bado tulipambana na kwend kushinda na kubeba kombe asee hii team watu walikua wanatuchukulia poa kwa sbb ya chuki na Messi lkn sisi tumecheza mpr wa kikubwa sana baada ya ile game ya Saudi.
Vamoooooooooos [emoji1033]
Ni kwa mujibu wa wachambuzi wa SkySports wakina Neville na wengine na siyo official kutoka Fifa.
Anamlisha na cr7Ma hater haitabadilisha kuwa Messi ni GOAT na kama atastaafu anastaafu kwa heshimaa.. yani hela zake anakulisha ww na ukoo wako mwaka mzima...ukimchukia hakujui unaemia ni wewe tuu huko nanjilinji mm ndo maana siwekagi chuki na walionizidi fwedhwaaa sasa unamchukia Cr7 kwa kipii??? Sema tu ni ile ushabiki ila ile mpk chuki kabisaaa mtu anakomaa lol
We na we kashabiki kaoga badaa ya kubeba kombe ndio unajitokeza mda wote ulikua wapi bila shaka we ni shabiki wa England acha uchawa na Timu za watu Argentina hawana mashabiki woga kama wew haya tumekuja ulikua unasemajeWote msiompenda Messi10 nasaka comment zenu.... Kwa hiyo wewe unasemaje !!!!!
Tatizo si mashabiki wa Ronaldo. Tatizo ni mashabiki wa Messi kumweka Messi kwenye nafasi yake katika historia wakiambatanisha na jina Ronaldo. Messi alishamzidi CR7 muda tu kabla ya kutwaa kombe la dunia ila mpaka sasa historia inayoandikwa ni Pele, Maradona na MessiCR7.Naona mashabiki wa CR7 mmejificha nyuma ya kivuli cha Mbappe ila moyoni mnakubali kiaina [emoji23][emoji23]
Kaikosesha France [emoji632] Ubingwa dk ya mwisho kabisa yeye na Keeper tu.Kolo mwani[emoji16]
Nani mtu na nusu kolo?Kaikosesha France [emoji632] Ubingwa dk ya mwisho kabisa yeye na Keeper tu.
Ila huyu jamaa ni mtu na nusu. [emoji119]
Yes.. jana alikuwa game changerNani mtu na nusu kolo?
Unaota wewe!!! Fifa wamefuta fainali ya Jana itarudiwa tana 2026...Nani mtu na nusu kolo?
Ww ulikua wapi Fisi we mla mizoga ungekua Simba ungekuja Toka mwazo mpira unaaza huoni aibu unakula makombo ya comment eti nyaaaaa nyaaaaa nyaaa mbuzi weGOAT TENA WA MUDA WOTE... MAKOMBE YOTE ALIYOWAHI KUPIGANIA YAPO KABATINI KWAKE.... ALAFU MNAKUJA KUMLINGANISHA NA KIKOJOZI WENU MBAPE. KWENDENI HUKO......
VAAAAAMOOOOOS ARGENTINA
Tena utawasikia wakipa moyo! eti Mbappe kikojozi ndiyo anakuja kuchukua mikoba ya Messi10 na CR7 combined.... Sijui wanaota hawa...Tatizo si mashabiki wa Ronaldo. Tatizo ni mashabiki wa Messi kumweka Messi kwenye nafasi yake katika historia wakiambatanisha na jina Ronaldo. Messi alishamzidi CR7 muda tu kabla ya kutwaa kombe la dunia ila mpaka sasa historia inayoandikwa ni Pele, Maradona na MessiCR7.
Yambafu!!!! Nilikuwa makalioni kwako ... DaaadekiWw ulikua wapi Fisi we mla mizoga ungekua Simba ungekuja Toka mwazo mpira unaaza huoni aibu unakula makombo ya comment eti nyaaaaa nyaaaaa nyaaa mbuzi we
Unaota wewe mdadaUnaota wewe!!! Fifa wamefuta fainali ya Jana itarudiwa tana 2026...
Labda kombe la ujiForum nzima timu inashabikiwa na Saint Anne Scars na Carrasco putin halafu unategemea ishinde kombe mbele ya timu inayoshabikiwa hadi na kina Dembele. Ungekuwa utani na masihara karika dunia ya soka
The rest sio takataka boss ila hawana hadhi ya kulinganishwa na Messi kwa sasa.Tena utawasikia wakipa moyo! eti Mbappe kikojozi ndiyo anakuja kuchukua mikoba ya Messi10 na CR7 combined.... Sijui wanaota hawa...
Messi10 Bora haijapata kutokea may be umlinganishe na hawa ambao hatujawaona wakicheza, yaani Pele, Maradona na Johan Cruyff.... the rest ni takataka TU....