Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Mabingwa wapya wa Dunia tumeamka kdg kuendelea na shangwe hlf tulale tena.

Vamooooooooooooooooooooooos[emoji1033]
20221219_042114.jpg
 
Yan the stry ya hii team ni fighting spirit kila. Mtu anajitoa.. Hat kwny moment ngumu kama za game ya Holland na ya leo hii ambapo tuli give away a 2 goal caution lkn bado tulipambana na kwend kushinda na kubeba kombe asee hii team watu walikua wanatuchukulia poa kwa sbb ya chuki na Messi lkn sisi tumecheza mpr wa kikubwa sana baada ya ile game ya Saudi.

Vamoooooooooos [emoji1033]
Tumeamkaaaaaaaaaaaaàaaaaaaaaaaaaaaa
Vamossssssssssssssssssssssss 🇦🇷
 
Ma hater haitabadilisha kuwa Messi ni GOAT na kama atastaafu anastaafu kwa heshimaa.. yani hela zake anakulisha ww na ukoo wako mwaka mzima...ukimchukia hakujui unaemia ni wewe tuu huko nanjilinji mm ndo maana siwekagi chuki na walionizidi fwedhwaaa sasa unamchukia Cr7 kwa kipii??? Sema tu ni ile ushabiki ila ile mpk chuki kabisaaa mtu anakomaa lol
Anamlisha na cr7
 
Wote msiompenda Messi10 nasaka comment zenu.... Kwa hiyo wewe unasemaje !!!!!
We na we kashabiki kaoga badaa ya kubeba kombe ndio unajitokeza mda wote ulikua wapi bila shaka we ni shabiki wa England acha uchawa na Timu za watu Argentina hawana mashabiki woga kama wew haya tumekuja ulikua unasemaje
 
Naona mashabiki wa CR7 mmejificha nyuma ya kivuli cha Mbappe ila moyoni mnakubali kiaina [emoji23][emoji23]
Tatizo si mashabiki wa Ronaldo. Tatizo ni mashabiki wa Messi kumweka Messi kwenye nafasi yake katika historia wakiambatanisha na jina Ronaldo. Messi alishamzidi CR7 muda tu kabla ya kutwaa kombe la dunia ila mpaka sasa historia inayoandikwa ni Pele, Maradona na MessiCR7.
 
GOAT TENA WA MUDA WOTE... MAKOMBE YOTE ALIYOWAHI KUPIGANIA YAPO KABATINI KWAKE.... ALAFU MNAKUJA KUMLINGANISHA NA KIKOJOZI WENU MBAPE. KWENDENI HUKO......

VAAAAAMOOOOOS ARGENTINA
Ww ulikua wapi Fisi we mla mizoga ungekua Simba ungekuja Toka mwazo mpira unaaza huoni aibu unakula makombo ya comment eti nyaaaaa nyaaaaa nyaaa mbuzi we
 
Tatizo si mashabiki wa Ronaldo. Tatizo ni mashabiki wa Messi kumweka Messi kwenye nafasi yake katika historia wakiambatanisha na jina Ronaldo. Messi alishamzidi CR7 muda tu kabla ya kutwaa kombe la dunia ila mpaka sasa historia inayoandikwa ni Pele, Maradona na MessiCR7.
Tena utawasikia wakipa moyo! eti Mbappe kikojozi ndiyo anakuja kuchukua mikoba ya Messi10 na CR7 combined.... Sijui wanaota hawa...
Messi10 Bora haijapata kutokea may be umlinganishe na hawa ambao hatujawaona wakicheza, yaani Pele, Maradona na Johan Cruyff.... the rest ni takataka TU....
 
The rest sio takataka boss ila hawana hadhi ya kulinganishwa na Messi kwa sasa.

Mbappe sio takataka ana nafasi iwapo atakuwa na nidhamu na kujituma sababu bado ana miaka 10 ya kuwa uwanjani na tayari ameshabeba kombe muhimu sana, kombe la dunia. Hakuna sababu ya kuwa na ushabiki wa mihemko. Hata Messi mwanzoni hakulinganishwa na Maradona mpaka pale alipofanya aliyoyafanya.
 
Back
Top Bottom