Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Sasa unataka kuanzisha ligi isiyo na maana,hivi kweli unafananisha bahari na bwawa! Messi ni kitu kingine bwana.. ameshinda kila kitu, hebu nipatie tu mchezaji yupi aliechukua makombe kama yote+Ballon d'Or+Man of the match n.k!
Ndio uko sahihi kabisa, anatamba katika dunia ya sasa ambapo kiwango cha mpira kiko chini sana kuliko zama zote katika historia ya soka.

Sheria zimekuwa nyingi eti kulinda mastaa, faulo nyingi ambazo enzi hizo adhabu zake zilikuwa ni kadi ya njano siku hizi ni nyekundu.

Huyu Messi enzi za akina Bobby Moore au Franz Berkernbouer asingecheza kabisa mpira, matako yangeota kutu kwenye benchi.

Watoto mliozaliwa kwenye miaka ya tisini hamuwezi kufahamu haya ninayoyasema hapa na kama nasema uongo waulizeni akina Zamoyoni Mogella au akina Sunday Manara kwani bado wapo.
 
Uongo zamani team nzima wanajua watatu tu wengine wote mitumba
The Brazilian sides that won the world cups in the year 1958, 1962 and 1970 were the star studded sides completely incomparable with the today's squads of many nations.
 
Kweli Mkuu ... Mzuka ulikuwa juu aka vibe...

Alafu haters wa Messi10 wametutania Miaka mingi sana wakitumia picha za Messi10 akiwa analia baada ya kukosa penati muhimu ktk fainali 2 za Copa America....

Mwaka huu baada ya Ronaldo wao feki kutolewa na Morocco wakahamia kwa dogo Mbappe hasa walitaka Mbappe azuie Messi10 kubeba kikombe cha dunia ili asimpite Ronaldo wao...

Sasa hawana jipya katika maisha yao yote kuanzia 18/12/2022 na Ronaldo feki wao....
 
It was messi's glorious sunset but it was also Mbappe's glorious sunrise, no doubt...kama mashabiki wa soccer ilikua ni fair enough kwa Messi kuchukua ili astaafu kwa amani kwasabab pia kaufanyia makubwa mchezo wa mpira.

Adios
Adios
Salut!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…