Tuombe uhai tu ata kwenye National league mlisema ivyo ivyoSpain ukifika robo shukuru Mungu
Tunisia wameanza vizuri.Tunisia amedandia mtumbwi wa vibwengo atapigwa chuma sio chini ya 3
Ile game acha tu dejong alikua anapiga kiatu balaa lakini refa alikazaaa kweli kweli mwishoni ndio aliona aibu akatoa umeme Kwa mchezaji wa NetherlandsUmenikumbusha ile WC final South Africa ...Netherlands vs Spain...
Ile game sijawahi kuisahau...Game ilienda dakika 120 huko....Ile game acha tu dejong alikua anapiga kiatu balaa lakini refa alikazaaa kweli kweli mwishoni ndio aliona aibu akatoa umeme Kwa mchezaji wa Netherlands
Shikamoo auntIle game sijawahi kuisahau...Game ilienda dakika 120 huko....
Iniesta akafunga dakika za mwishoni kabisa...
Marahaba Uncle....Shikamoo aunt
Huko waliko watakua hawana hamu kwa kuikosesha raha hiyo dunia yenu nzimaArgentina inacheza leo na Dunia nzima ina furaha
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Ohoooo wale wa second leg tukutane
Tutawakeree kidogo huku tusiharibu uzi π π π[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Twende uzi wa Dodoma Jiji na Yanga bhana Best...
Naaaaaam[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tutawakeree kidogo huku tusiharibu uzi [emoji38] [emoji38] [emoji38]
TBC n uchuro to haoNaisuburia Brazil.. ila sisi wa TBC tunakosa mambo mwee