Acha tuu itabidi tununue DSTv kwa lazima sema ndo kuingalia sasa unalipa hela za bure tuu mpk miaka 4 tena ndo uifurahie.TBC n uchuro to hao
Leo ni Leo ya Leo Messi
Baba wa football na chenga za kutisha...
Mwanga wa football
Jamaa mfupi lakini mwenye maajabu yake
ππππShida ndo hiyo Ila ukiwa pia mtu WA mamove wala hutachokaAcha tuu itabidi tununue DSTv kwa lazima sema ndo kuingalia sasa unalipa hela za bure tuu mpk miaka 4 tena ndo uifurahie.
Arjen robben aliwanyima kombe wa dutchIle game sijawahi kuisahau...Game ilienda dakika 120 huko....
Iniesta akafunga dakika za mwishoni kabisa...
We Acha tuu
Yani htr, tunakosa uhondoNaisuburia Brazil.. ila sisi wa TBC tunakosa mambo mwee
Shida time ndugu hata hii Azam naangalia kwa machale sana yani ki ujumla siienjoy TV labda weekends na jioni kweny mechi hasa za saa mojaππππShida ndo hiyo Ila ukiwa pia mtu WA mamove wala hutachoka
Labda time ndo uwe unakosa
Nipate juisiiiiiiiiMarahaba Uncle....
Naona leo umetupa Mubashara nzuri sana....
Makofi kwako tafadhali...
Leo ndio siku mchezaji bora kuwahi kutokea duniani anaingia uwanjani
Si mwingne ni La pulga
Ningependa kocha atumie 4-4-2 ili messi awe karibu na goli muda mwingi pmj na dogo alvarez
Kule nyuma kocha amwamini martinez asimame na otamend Wana work rate nzuri kuliko romero
Prediction
Agentina 3- 0 saudi arabia
Mule mule mmSenegal
Spain
Brazil
Argentina...
Wewe?
ππππππππππππππππππ
Wasije leta mambo ya jana SenegalHaww Tunnis sikuweza kufikiria kama watakuwa wagumu hivi
Inakuja na vingine[emoji28]Nipate juisiiiiiiii