Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Leo ni Leo ya Leo Messi
Baba wa football na chenga za kutisha...
Mwanga wa football
Jamaa mfupi lakini mwenye maajabu yake
8fb71b4e2f464ff083f628e4584ccbca.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha tuu itabidi tununue DSTv kwa lazima sema ndo kuingalia sasa unalipa hela za bure tuu mpk miaka 4 tena ndo uifurahie.
😂😂😂😂Shida ndo hiyo Ila ukiwa pia mtu WA mamove wala hutachoka
Labda time ndo uwe unakosa
 
😂😂😂😂Shida ndo hiyo Ila ukiwa pia mtu WA mamove wala hutachoka
Labda time ndo uwe unakosa
Shida time ndugu hata hii Azam naangalia kwa machale sana yani ki ujumla siienjoy TV labda weekends na jioni kweny mechi hasa za saa moja
 
Leo ndio siku mchezaji bora kuwahi kutokea duniani anaingia uwanjani

Si mwingne ni La pulga

Ningependa kocha atumie 4-4-2 ili messi awe karibu na goli muda mwingi pmj na dogo alvarez


Kule nyuma kocha amwamini martinez asimame na otamend Wana work rate nzuri kuliko romero


Prediction
Agentina 3- 0 saudi arabia
JamiiForums-1049870428.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom