Achraf Hakimi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2010
- 943
- 1,944
Na atafunga kuna watu anataka kuwaonesha kuwa hajaisha kama wanavyodaiRaha yangu kwenye michuano hii ni kuona goli la CR7 baasiiii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na atafunga kuna watu anataka kuwaonesha kuwa hajaisha kama wanavyodaiRaha yangu kwenye michuano hii ni kuona goli la CR7 baasiiii
Nakubalina na wew dimaria kachoka kunamipira alikua anapigiwa sehemu yakutembea na mpira yey anakimbilia kupiga mbele kipindi yupo kweny ubora wake zile nafasi alikua anakimbia sana ila Leo hapanaAlimfunga ila angalia line up ya kwanza na sub, yaani ni bora umchezeshe Marcos Rojo kuliko Otamendi....wameshachoka
Hata Di Maria ile kimbiza yake ya mwanzoni hana tena
German bado hajatushawishi, labda Belgium kwa mbaaliiiTeam German hamtuongelei ila tutawashangaza
Mechi ijayo na mexico unawafaham vizuri mexicoHalafu hii kufungwa kwa Argentina mapema kutawafanya wajipange watakaokuja mbele wataliwa vichwa
Kwahyo wakikutana robo fainal unashabikia nani?Mm ni vuguvugu ilimradi hawako kundi moja
Wakifungwa na Mexico nahamia mexicoMechi ijayo na mexico unawafaham vizuri mexico
Brazil my namba one TeamKwahyo wakikutana robo fainal unashabikia nani?
Kwa Africa naitabiria GHANA kufikia record yake ya 2010 ya kufika robo fainal
Upo wapi nikupe ratiba [emoji16]Yaani naangalia mpira lakini sina amani maana najua Kipara atapita na moto wake muda wowote
Madame wacha mi nicheke tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimeona clip now waarabu ni wanacheza mapiano na kanzu 🤣Muarabu ananyoosha watu huku
*amapianoNimeona clip now waarabu ni wanacheza mapiano na kanzu [emoji1787]
😂😂😂😂Goat amekuwa sheep...kama sio ndama