Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Alimfunga ila angalia line up ya kwanza na sub, yaani ni bora umchezeshe Marcos Rojo kuliko Otamendi....wameshachoka

Hata Di Maria ile kimbiza yake ya mwanzoni hana tena
Nakubalina na wew dimaria kachoka kunamipira alikua anapigiwa sehemu yakutembea na mpira yey anakimbilia kupiga mbele kipindi yupo kweny ubora wake zile nafasi alikua anakimbia sana ila Leo hapana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…