Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Mlioko mbele ya Luninga, mnaionaje Tunisia? au itatulaza na viatu kama Senegal?
 
Badala ya kushuti ufunge eti unataka utoe assist
 
Mwaka 2010 World Cup iliyofanyika pale South Africa, mechi ya kwanza Spain anakufa 1-0 kwa Uswizi lakini alikuja kutwaa ubingwa.

Somo: Never underestimate Argentina
Rekodi huwa zinatupa matumaini, ebu ngoja tuone kama utabiri huu utatimia.

Utabiri kama huu uliwahi kufanywa mwaka 2010, 2014 na 2018, ulizaa matunda
 
Umeona eeehh
Kama utani hii comment yangu if ifanyieni lamination muitundike paleeeee juuu iwe ushahidi....
Argentina wanaingia nusu fainali
Na mimi yangu itolewe copy kama ushahidi....hamna cha Argentina wala Portugal. Wote watatoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…