Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Hili group Ufaransa kama bingwa mtetezi kazi anayo. Australia wanaweza kuwasuprise Ufaransa. Nikikumbuka Australia walivyoshinda kwa penalt dhidi ya Peru. Ufaransa kazi wanayo.
Australia hawezi kufurukuta kwa France, ufaransa wapo very strong tactically lakini pia wapo lucky sana kwenye michuano ya WC tofauti na Argentina ambao kila wakija wanakuwa favourite lakini mwisho wake ni kuwekwa hovyo.
 
Habari za Yanga hapa sio mahala pake
JamiiForums-1503402815.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Australia hawezi kufurukuta kwa France, ufaransa wapo very strong tactically lakini pia wapo lucky sana kwenye michuano ya WC tofauti na Argentina ambao kila wakija wanakuwa favourite lakini mwisho wake ni kuwekwa hovyo.
Mark my words. Time will tell usiku huu si mbali. Australia wanaweza mwaga kunguni kwa France.
 
Back
Top Bottom