Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Habari za Yanga hapa sio mahala pakeHalafu angeshuti akakosa ungeanza kumlaumu ni mchoyo bora angetoa assist
Anyways, Dodoma 0-2 Yanga
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari za Yanga hapa sio mahala pakeHalafu angeshuti akakosa ungeanza kumlaumu ni mchoyo bora angetoa assist
Anyways, Dodoma 0-2 Yanga
Sent using Jamii Forums mobile app
Australia hawezi kufurukuta kwa France, ufaransa wapo very strong tactically lakini pia wapo lucky sana kwenye michuano ya WC tofauti na Argentina ambao kila wakija wanakuwa favourite lakini mwisho wake ni kuwekwa hovyo.Hili group Ufaransa kama bingwa mtetezi kazi anayo. Australia wanaweza kuwasuprise Ufaransa. Nikikumbuka Australia walivyoshinda kwa penalt dhidi ya Peru. Ufaransa kazi wanayo.
France ni giant sio rahisi kukosa matokea japo kweny mechi ya 2018 Australia walimsumbua France ila mkomavu ni mkomavu tuHili group Ufaransa kama bingwa mtetezi kazi anayo. Australia wanaweza kuwasuprise Ufaransa. Nikikumbuka Australia walivyoshinda kwa penalt dhidi ya Peru. Ufaransa kazi wanayo.
Mark my words. Time will tell usiku huu si mbali. Australia wanaweza mwaga kunguni kwa France.Australia hawezi kufurukuta kwa France, ufaransa wapo very strong tactically lakini pia wapo lucky sana kwenye michuano ya WC tofauti na Argentina ambao kila wakija wanakuwa favourite lakini mwisho wake ni kuwekwa hovyo.
Denmark unawadharau sana?
Mimi nadhani anaetakiwa kujutia ni Denmark, TUNISIA anastahili kupongezwa kwa hii draw..!
Kibiashara alitakiwa afungweMimi nadhani anaetakiwa kujutia ni Denmark, TUNISIA anastahili kupongezwa kwa hii draw..!
Australia hana tofauti na Iran na hao Qatar, utakuja kuniambia usiku hapaMark my words. Time will tell usiku huu si mbali. Australia wanaweza mwaga kunguni kwa France.
Dah..FT'
Den 0-0 Tun