Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Kutoka kwa Fabrizio Romano: Wakala Jorge Mendes yupo London kufanya mazumgumzo na Todd Boehly wa Chelsea.
20221122_205951.jpg
 
Man Utd wamecheza kama pele!

Roy Keane pia aliwahi kuondolewa Man Utd katika ya msimu baada ya kufanya interview na kuwaponda wachezaji chipukizi.

Miaka ya nyuma, Paul Ince aliwahi kuuzwa na kwenda Inter Milan baada ya kuwaambia wachezaji wenzake wamuite Gavana.

Hakuna mchezaji mkubwa kuliko klabu -Sir Alex
 
Back
Top Bottom