Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23]Sio mbwembwee waliogopa kudunguliwa maana jana yake kuna shambulio lilipigwa kwao(Poland).Nasikia timu ya Poland imesindizwa nchini Qatar na Ndege za kivita..ndege ya wachezaji iko kati huku midege ya kivita kwa pembeni.. watu wana mbwembwe
Duuh mtamuua kwa stress huyu jamaaUpdates nje ya mechi....View attachment 2424330
Hahahaha na wao wapewe bia nusu bei kama zipo
doooh kumbe sio mbwembwe 😆 😆 😆 😆 😆[emoji23]Sio mbwembwee waliogopa kudunguliwa maana jana yake kuna shambulio lilipigwa kwao(Poland).
Kwhy wakabid ndege ya wachezaj isindikizwe na jet fighter za htr kbs.
Sawa washeherekee tu lakin wakae wakijua ni mapema mno. Anyways,,,,
Kachakazwa na wanywa alkasus[emoji23][emoji23][emoji23] vipi hali ya leomessi
Sio kwa huo mshuti aisee umeshibaaaView attachment 2424338
The best moment for so far!
Mbona huyo nyuma ni mzee kabisa7 mins added
View attachment 2424345
Yes mkuuNaona Ronaldo ameondoka Man Utd
Wazee wa tende na haluaKachakazwa na wanywa alkasus
Si kwa ujinga huu wa TANESCOTANESCO nawasalimia kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania! Ama kwa hakika mnaupiga mwingi!
[emoji23]Eeh asee sio mbwembwee wao wako krb na Ukraine na Urusi kwhy heka heka pia zinawakuta na vitisho vya hapa na paledoooh kumbe sio mbwembwe [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]