Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Updates nje ya mechi....
Screenshot_20221122-203937_Twitter.jpg
 
Nasikia timu ya Poland imesindizwa nchini Qatar na Ndege za kivita..ndege ya wachezaji iko kati huku midege ya kivita kwa pembeni.. watu wana mbwembwe
[emoji23]Sio mbwembwee waliogopa kudunguliwa maana jana yake kuna shambulio lilipigwa kwao(Poland).

Kwhy wakabid ndege ya wachezaj isindikizwe na jet fighter za htr kbs.
 
Back
Top Bottom