Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Man Utd wamecheza kama pele!

Roy Keane pia aliwahi kuondolewa Man Utd katika ya msimu baada ya kufanya interview na kuwaponda wachezaji chipukizi.

Miaka ya nyuma, Paul Ince aliwahi kuuzwa na kwenda Inter Milan baada ya kuwaambia wachezaji wenzake wamuite Gavana.

Hakuna mchezaji mkubwa kuliko klabu -Sir Alex
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…