Wafungwe tuMpira unachezwa langoni mwa australia
Kanjibai presha juu.. Maana ile mechi ya Argentina walikula sana..M-bet na Sportpesa wame mind
Mkuu usiyumbishwe bado mapema kukata tamaa....tutavuka tu hii stage liwake jua inyeshe mvuaMpr mkuu acha tu asa sisi washibiki Lia Lia kaz mno.. Nilijitaid kua hapa walau kujib tuhuma mbili 3 baada ya game lkn nilikua na maumivu makal sana ya kuanza kipigo mapema hii leo.
Rangi gani?Hawa Australia wataponzwa na hii rangi yao ya jezi
MihogoRangi gani?