Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja tuone...Mwaka huu itakuwa tofauti sana, France anafika final labda kama atapoteza mechi ya fainali.
Basi Yanga isivyopenda kusemwa imeamua ijitokezehawa Australia jezi kama ya Yanga
Na kwny mpr ukisha fanya huo ujinga tu tena goal wamepata mapema hlf wanarud nyuma.. Watatafutwa kama nn na watakula nyng France kachafukwa.Hawa australia kuna mistake wanafanya yaani walipopata tu goli moja wakaanza kudefend ni mapema sana
Mimi nimelala besty ake... ila ningeangalia ningekua na hao wafuga ng'ombe wa Australia 😆
hahaha yani rangi ni hizo hizoBasi Yanga isivyopenda kusemwa imeamua ijitokeze View attachment 2424506
Makambo au kamboleGiroud = Mugalu
Wamekutana na kibondeFrance wana moto jaman
Mechi bado mkuuOya ina maana leo Mbappe hata offtarget hamna?