Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 32,603
- 62,269
Usilete hya mambo huku 😆 😆Uto ya ulaya ishapwa 2 mpaka sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usilete hya mambo huku 😆 😆Uto ya ulaya ishapwa 2 mpaka sasa
HanaOya ina maana leo Mbappe hata offtarget hamna?
Kibu akiona hii atacheka atajiona ye ana afadhali kama kwenye sehemu kama hizi hatumiki kama mfanoMakambo au kambole
HahahahaGiroud = Mugalu
Acheni upuuziHili Goli Alofunga Giroud, Ingkw Ni Simba Ndo Inacheza Nafasi Kama Hiyo Angepata Kibu D Hilo Goli Tungesahau [emoji1787]
Mkuu siwez kata tamaa hata kdg me naamin tunafuzu vzr kbs.Mkuu usiyumbishwe bado mapema kukata tamaa....tutavuka tu hii stage liwake jua inyeshe mvua
Leo Australia ilo goal waliowah kufunga wanaweza lijutia maisha yao yote [emoji23]Leo goli zitakuwa nyingi sana na nshaziona. Sio kwa hizi kasi za akina mbappe na dembele
Mechi ikiisha France kapoteza, muhindi ataitisha sherehe kama Saud Arabia walivyofanya baada ya kupata ushindi kwa ArgentinaKanjibai presha juu.. Maana ile mechi ya Argentina walikula sana..
Hawatoki ulaya haoHawa UTO wa ulaya wamekta moto sijui ni ioe mihogo ya katari