Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Oya ntazima data maana jinsi mnavyopata hii burudani wenzetu ambao area zenu kuna umeme mnanitamanisha sana

Yani mnanifanya nione kukosa kuangalia hii mechi iwe kama nimepoteza kitu kikubwa cha thamani
Miminnacheki kwenye simu kupitia dstv now
 
Mechi ikiisha France kapoteza, muhindi ataitisha sherehe kama Saud Arabia walivyofanya baada ya kupata ushindi kwa Argentina
Kwa ili atapigwa sema mikeka mingi unakuta mtu aliunganisha kuanzia ule wa Argentina maana ilikua uhakika Argentina atashinda.
 
Oya ntazima data maana jinsi mnavyopata hii burudani wenzetu ambao area zenu kuna umeme mnanitamanisha sana

Yani mnanifanya nione kukosa kuangalia hii mechi iwe kama nimepoteza kitu kikubwa cha thamani
Kama una bundle si uende hesgoal.com
 
Back
Top Bottom