Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
- #3,801
HT' France 2-1 Australia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbappe mambo mengiii
Mi umeniona lakini,au nijitupie hapa unione wadada wanavyoshindwa kula kwakunizimikia.Weee mzurii bwanaa
Tuko half timeMpira bado dk ngapi??
first halfMpira bado dk ngapi??
Hapa tunatupia magoli tuuMi umeniona lakini,au nijitupie hapa unione wadada wanavyoshindwa kula kwakunizimikia.
Mkuu unaweza ukanipa more info jinsi ya kuunganisha hii app na kingamuzi kwenye simuMiminnacheki kwenye simu kupitia dstv now
Backline ya France iko shaky sana, nashangaa Saliba amewekwa bench. Huenda Konate yuko vizuri zaidi, hata hivyo ni nafasi ya Saliba kujifunza.Deschamps anaye beki aliyetulia wa kati, William Saliba lakini anamuacha benchi. Pale nyuma kuna kupoteana wanaposhambuliwa.
Nenda kwenye web yao kajisajili chap uwe na email activeMkuu unaweza ukanipa more info jinsi ya kuunganisha hii app na kingamuzi kwenye simu
Sent using Jamii Forums mobile app
Pale mbona kapiga vizuri ni kwamba hakulenga goli. Mbappe ndio alikosa goli la wazi sana kipindi cha kwanza.Huyu Giroud sijui ana gundu Gani anakosa sana magoli na eneo la katikati limepwaya
Huyo ni kama Chris Kope MushimbaHuyu Giroud sijui ana gundu Gani anakosa sana magoli na eneo la katikati limepwaya