Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Leo goli zitakuwa nyingi sana na nshaziona. Sio kwa hizi kasi za akina mbappe na dembele
 
Hivi kuna wati walitarajia France atapoteza hii mechi baada ya lile goli la mapema? Yani hata ukiangalia tu uchezaji wa Australia, unaona kabsa hawana team.

Hawa watapigwa hata 5 kabisa.
 
Hawa australia kuna mistake wanafanya yaani walipopata tu goli moja wakaanza kudefend ni mapema sana
Na kwny mpr ukisha fanya huo ujinga tu tena goal wamepata mapema hlf wanarud nyuma.. Watatafutwa kama nn na watakula nyng France kachafukwa.
 
Oya ina maana leo Mbappe hata offtarget hamna?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…