Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Hawa startimes kama wamerekebisha hivi, saiz naona mukide
 
Deschamps anaye beki aliyetulia wa kati, William Saliba lakini anamuacha benchi. Pale nyuma kuna kupoteana wanaposhambuliwa.
 
Deschamps anaye beki aliyetulia wa kati, William Saliba lakini anamuacha benchi. Pale nyuma kuna kupoteana wanaposhambuliwa.
Backline ya France iko shaky sana, nashangaa Saliba amewekwa bench. Huenda Konate yuko vizuri zaidi, hata hivyo ni nafasi ya Saliba kujifunza.
 
Mbappe anaweza kushindana kasi na ndege inapotaka kupaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…