Eeh umewakubali majamaaaYani hawa wafaransa wana magoli ya akili sana sio ya kitoto yani wanayatafutaa haswaa
Hadi mama yangu wa kambo hapa alikuwa anajisemea hawa watafungwa goli tuu wakati mechi ipo 2-1. Kweli australia mdebwedoFrance goal attempts 21- Australia 4
Nilikua tuu yaani hapo jamanaa wataoga mihelaMfalme wa Saudi Arabia kazawadia kila mchezaji Rolls Royce. Aisee Saud wamemkosha mfalme
Haya ni mauaji🤣🤣🤣France goal attempts 21- Australia 4
Walikuja kucheza rede Leo😂Hadi mama yangu wa kambo hapa alikuwa anajisemea hawa watafungwa goli tuu wakati mechi ipo 2-1. Kweli australia mdebwedo
Hapo hata wakitolewa wameisha ridhika tayari.Mfalme wa Saudi Arabia kazawadia kila mchezaji Rolls Royce. Aisee Saud wamemkosha mfalme
Sie kweli mabwege ata refa mmoja hatuna huko world cup jamani. Watu wanakula $70000 kama salaey na $3000 kila group match unayochezesha. Aisee tunapitwa na vingiHuyu Refarii kutoka South Africa [emoji1221] mnamkumbuka?
Ila utashanga ssasa wanakuja mkalia kooni tunisiaWalikuja kucheza rede Leo😂
Hivi Kante na Benzema ndo basii WC? Hata wakipona hapo nusu fainali mfano?FT' France 4-1 Australia
Nasikia dola laki tano kila mmoja plus makocha sijui technical yani kila aliyehusika na team mkweche na duscoNilikua tuu yaani hapo jamanaa wataoga mihela
Mmmh let's seeIla utashanga ssasa wanakuja mkalia kooni tunisia
Acha tu.. wewe umtegemee ARAGIJA na KAYOKO kweli [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sie kweli mabwege ata refa mmoja hatuna huko world cup jamani. Watu wanakula $70000 kama salaey na $3000 kila group match unayochezesha. Aisee tunapitwa na vingi
Hawatocheza kwasababu sio sehemu ya kikosiHivi Kante na Benzema ndo basii WC? Hata wakipona hapo nusu fainali mfano?
Mwaka mzima itakuwa ni likizoMara paap Saudia wamechukua ubingwa sijui watapata zawadi gani??
Sheria itabadilishwa. Kuoa mwisho wake kumi sio wanneMara paap Saudia wamechukua ubingwa sijui watapata zawadi gani??
Kayoko muda wote anafoka utasema kachukuliwa demuAcha tu.. wewe umtegemee ARAGIJA na KAYOKO kweli [emoji1787][emoji1787][emoji1787]