Nilufer
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 9,603
- 13,654
Mkuu kweli kabisa ufaransa sio Argentina wamechomoa na kuwaongeza Kama zoteUfaransa si Argentina washindwe kuchomoa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kweli kabisa ufaransa sio Argentina wamechomoa na kuwaongeza Kama zoteUfaransa si Argentina washindwe kuchomoa
Kabisa yaani unafurahia mechi kinoma ninkushinda ndani tuu ila hawa tanesco nao ndio wanaharibu mipangoYanii world cup tamu sanaaaa
Hapa ndo naona faida ya king'amuzi cha dstv
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Wanangu wa Saudi Arabia tujuane mapema
Tunaomba Messi awepo tutaipiga hao watu wafupi virikuu mpka Messi astaafu mpira Leo Leo [emoji1210][emoji1210][emoji1210]
Utani wa ngumi huo[emoji28][emoji28][emoji28]Argentina inacheza leo na Dunia nzima ina furaha
Sasa hapo mama yoyoo angekuwa pembeni ndo mechi ingekuwa tamuuKabisa yaani unafurahia mechi kinoma ninkushinda ndani tuu ila hawa tanesco nao ndio wanaharibu mipango
Maalim Yahaya Hussein[emoji28][emoji28][emoji28]Mpe denmark, tunisia weupe tuu
Hongera[emoji23][emoji23][emoji23]Baada ya kuona argentina inacheza leo nimenenepa ghafla
Kirikuu yule[emoji23]Leo ni Leo ya Leo Messi
Baba wa football na chenga za kutisha...
Mwanga wa football
Jamaa mfupi lakini mwenye maajabu yake
Hahah bado mapema sana ngoja aje achakaze mtu goli 5 ndo mtapata akiliKirikuu yule[emoji23]
Kimebuma[emoji23][emoji23][emoji23]Mpe denimark
Weka milioni kabisa
[emoji23][emoji23]hautoamini, mimi naungana na wavaa kobazi wa MakkaHahah bado mapema sana ngoja aje achakaze mtu goli 5 ndo mtapata akili
Uje wewe unipe uno ulokuwa wampa mjomba huku twacheki mechi.Sasa hapo mama yoyoo angekuwa pembeni ndo mechi ingekuwa tamuu
Kesho si ndio leo, au unamaanisha Alhamisi?Mechi za kesho zote tamu
Naanza na hyo ya Morocco mchanaaa
Ila tanesco wasifanye yao tuu
Hahaha haya mambo bwana balaa tupuMaalim Yahaya Hussein[emoji28][emoji28][emoji28]
Hii germany japan itakuwa balaaaMechi za kesho zote tamu
Naanza na hyo ya Morocco mchanaaa
Ila tanesco wasifanye yao tuu
Umemponza mwenzakoHahaha haya mambo bwana balaa tupu
Hahaha wajeruman nao dahhh wana maajabu sanaHii germany japan itakuwa balaaa