Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Hahahaha hawa hawajutatajia walimuogopa messi ndo maana wamepewa mizawadi kama yote. Eti hatua ya makundi tu kesho public holiday ...dah matumizi mabaya ya holiday
Sasa unaambiwa timu yoyote iliyomfunga argentina kwenye group stage wamecheza semi final au final...nakwambia mwezi mzima kuyakuwa holiday saudia🤣🤣🤣🤣🤣
 
Sasa unaambiwa timu yoyote iliyomfunga argentina kwenye group stage wamecheza semi final au final...nakwambia mwezi mzima kuyakuwa holiday saudia🤣🤣🤣🤣🤣
Hahaha
Mwaka huu itabadilika...
Hata Argentina hawaendi kulala watarudi na nguvu mpya
 
Naangalia marudio
Kumbe Australia walianza kufunga 😺

Naona after match hawajamini namna walivyofuliwa
 
Back
Top Bottom