Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina out hana uwezo wa kumfunga mexico na Poland kwa mpira waliocheza jana. Mimi ni shabiki wa Messi ila ukweli lazima usemwe.
Hahaaaaaaa sema Bora umejua ukweli ila pia mnaweza kufuzu maana Argentina kuaza vibaya kweny mechi za kwanza za makundi sio mara ya kwanza Ata 2018 alipasuliwa 3 na Croatia ila alifuzu ila vibonde wenu Nigeria hawapo
 
Huyo mexico na mwenzake watapigwa kama ngoma
 
Umeona eeehh
Kama utani hii comment yangu if ifanyieni lamination muitundike paleeeee juuu iwe ushahidi....
Argentina wanaingia nusu fainali
Ndoto za mchana hakuna timu pale. Messi kaisha, mabeki wabovu
 
Screenshot_20221123-111148_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom